WAKATI stori za kulawitiwa kwa staa wa Bongo Fleva, Ali Kiba zikitokota chini kwa chini, mwenyewe ameibuka na kukanusha kuwa si za kweli.
Akizungumza na mtandao mmoja Bongo, Ali Kiba amekanusha madai hayo na kufafanua kuwa, uvumi huo ulichagizwa na rafiki yake mmoja wa karibu ambaye walikuwa wakiishi naye.
“Si kweli bwana, hizo stori si za kweli, jamaa tulimtimua home baada ya kugundua ana tabia ya udokozi ndipo akaamua kupakaza stori kama hizo,” alisema Ali Kiba
No comments:
Post a Comment