
Kocha wa timu ya manchestter united ametoa
offer ya pound
million £25 kwa Tottenham ambayo
pia itaweza kuongezeka endapo modric
ataonyesha kiwango kizuri hadi million
pound MILION £30 .
Modric mwenye
umri wa miaka £30 atasaini dili ya miaka 4 yenye thamani ya pound milioni
26 na mshahara wake utakuwa laki
moja na £25 elfu kwa week .
Kwa kiwango
hicho cha pesa MOdric atakuwa katika kundi la wachezaji wanaolipwa
vizuri OLD TRAFFORD.
No comments:
Post a Comment