HII NI NYUMBA MPYA YA WEMA
SEPETU
Wema akiwa na Zamaradi kutoka
Clouds TV
Wema, Snura & Zamaradi
Wema akiwa na James mtu ambaye ametengeneza style yote
ya nyuma ya Wema.
Gari yake ya kwanza ilikuwa hii
Gari ya pili na ndio hii na ndio
anayoipenda
Hapa ndipo anapoishi Miss Wema Sepetu maeneo ya
Kijitonyama....wakati tukiendelea na kupiga picha mtangazaji kutoka Clouds TV
Zamaradi alikuja kufanya interview ya Take 1 kwa hiyo kaa tayari itakujia siku
si nyingi
No comments:
Post a Comment