Friday, May 25, 2012
Mwanadada Diva ambaye ni
mtangazaji wa kipindi cha ala za roho kinachorushwa hewani na Clouds fm radio
kupitia kipindi chake hicho ameweka wazi nia yake ya kufanya ngoma na msanii
aliye juu kwa sasa Diamond platnum. Akidadafua kwa kifupi kidogo mwanadada huyo
alisema kuwa yeye ana kipaji cha kuimba mbali na kile alichokuwa nacho cha
kuwaburudisha wapenzi na wapweke wakati
wa usiku hivyo
anataka kuendeleza kipaji hiko na yuko mbioni kutoa nyimbo yake ambayo ataffanya
na Diamond kwenye studio za Fishcrab chini ya prodyuza Lamar, Haya mashabiki wa
Diva mkae mkao wa kula!.
No comments:
Post a Comment