Mwanadada
machachari wa bongo movie anajulikana kwa jina la Sintah aka JLO wa
bongo baada ya kufungua blog yake na kuwa gumzo la jiji sasa ameamua
kupiga step kidogo na kuhamia kwenye website. Mwenyewe anasema ukitaka
kupata burudani na kumjua zaidi basi usisite kumtembelea katika website
yake ambayo ni hii hapa www.sintah.com
No comments:
Post a Comment