...Ngumi ndo zinaanza.
...Wolper akimkabili Wema.
...Wakishikana.
...Wakizidi kuonyeshana umwamba.
....Ndonga zikiendelea.
...Mpambano ukiwa umekolea.
....Picha ya pamoja baada ya mpambano huo uliomalizika kwa suruhu.
Waigizaji mahiri wa filamu nchini,
Wema Sepetu na Jacqueline Wolper walitoka suruhu katika mpambano wao wa
raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kwenye
Tamasha la Usiku wa Matumaini Juni 7, 2012.
No comments:
Post a Comment