NAPE AFUTURISHA WAJUMBE WA NYUMBA KUMI MOROGORO
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akikaribishwa na Kaimu Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Six Mapunda na
Kada wa CCM na Hassan Bantu (kulia) alipowasili kwenye ukumbi wa shule
ya sekondari ya Forest ambako aliandaa futari kwa ajili ya mabalozi wa
nyumba kumi na baadhi ya viongozi wa CCM kutoka wilaya za mkoa wa
Morogoro jioni hii ya jana Agosti 17, 2012.
Katibu
wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye
akisalimiana kwa furaha na mkuu wa mkoa wa zamani wa Morogoro steven
Mashishanga baada ya kuwasili kwenye futari hiyo iliyoandaliwa na Nape
kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Waalikwa wakisali kabla ya kufuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Kina Baba wakifuturu futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Mashishanga,
Fikiri juma wa mjini,Nape na wa mkoa petro kingu wakifuturu, futari
iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini
Morogoro.
Kaimu
Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Sixtus Mapinda na Msaidizi wa Katibu
NEC, Itikadi na Uenezi, Taifa, Okctavian wakifuturu, futari hiyo
iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini
Morogoro.
Babu akijisevia futari, wakati wa futru hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Mkuu
wa mkoa Moro Joel Bendera akifuturu,futari hiyo iliyoandaliwa na Nape
kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Kina mama wakifuturu, futari hiyo iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Six
akimkaribisha Nape jukwaani baada ya kufuturu, futari hiyo
iliyoandaliwa na Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini
Morogoro.
Nape akizungumza jukwaani, baada ya futari hiyo aliyoandaa kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Nape akizungumza jukwaani baada ya futari hiyo.
Sheik
Khamis Ali Mbilikila akisoma dua baada ya futari hiyo iliyoandaliwa na
Nape kwenye ukumbi wa Shule ya sekondari Forest mjini Morogoro.
Nape akishiriki kuomba dua baada ya futari. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Morogoro
Kina mama wakiomba dua
Kinababa wakiomba dua
Nape, Bendera na Kingu wakiwa wamesimama baada ya futari hiyo.
Nape akiwaaga waalikwa
Nape na mbunge wa zamani Simeindu Pawa wakisalimiana baada ya futari hiyo
Nape akiagana na mjumbe wa nyumba kumi Zuberi Fikirini baada ya futari. Mjumbe huyo ni mlemavu wa miguu --
No comments:
Post a Comment