Waziri wa mafuta wa zamani wa Libya amekutikana amekufa katika
mji mkuu wa Austria, Vienna, karibu na mto Danube, kwa mujibu wa Wizara ya
Mashauri ya Nchi za Nje ya Austria.
Hakujatolewa maelezo zaidi, lakini inafikiriwa amekufa kutokana na ugonjwa wa moyo.
Inafikiriwa amekuwa akiishi Ulaya tangu mwezi Juni mwaka jana.
No comments:
Post a Comment