Friday, May 11, 2012

MWALIMU CHRISOPHER MWAKASEGE KESHO ATAFANYA SEMINA DODOMA

Muhubiri mwinjilisti na mwalimu Christopher Mwakasege kesho atakua akifanya semina ya neno la Mungu na ni maalum kwa wanafunzi wa shule za secondari na vyuo vikuu vyote  pamoja na watu wengineo.  Njoo upate upako wa Mungu ili aendelee kukubariki katika masomo yako na maisha yako pia.





NYOTE MNAKARIBISHWA BILA KUJALI DINI WALA KABILA

No comments:

Post a Comment