Friday, May 4, 2012

SHETTA AVUTA JIKO (MKE).


Mdananda hit maker mkali kutoka Ilala Dastamina, ameoa alfajiri ya leo Ijumaa 4/5/2012.Hongera She She She Sheta.Leo alfajiri Bwana harusi SHETA na Bibi harusi Leyla walihalalishiwa rasmi ku share all the lavidavi stuffs, mbele ya shekhe pande za mabibo ukweni kwa kina Leyla, ambapo ndugu na jamaa wa familia hizo walihudhuria...

No comments:

Post a Comment