Thursday, June 21, 2012

50 CENT NAE ATOA MAONI YAKE JUU YA BEEF YA BRIZZY NA DRIZZY.



G. Unit C.E.O 50 Cent analinganisha beef ya Drake na Chris Brown iko kiraha sana na pia inawapaisha, akiongelea mzozo huo wakati akipiga story na LA Leakers, 50 cent hakujua chochote kuhusu hilo aliona picha ndipo aliposhangaa sana kusikia washikaji wamerushiana chupa katika club ya usiku huko New York. “Hivi ni kweli ule ugomvi umesababishwa na msichana? (Rihanna), Hapana sidhani basi wanakitu chao katika music wanajuana wenyewe” Alisema Fif. Ni mbaya sana sikudhani kama wanaweza kuhusishwa katika aina hiyo ya ugomvi, Meek Mill, Chriss Brown alafu Drake, sikuwahi kufikiria kati yao kuna mpiganaji, lakini ukiangalia itakuwa ni kimuziki sana sana” Aliendelea kufunguka Fid a.k.a Fif.

No comments:

Post a Comment