Monday, June 18, 2012

RAIS KIKWETE AAPISHA MWENYEKITI MPYA NA MAKAMISHNA WAPYA WA TUME YA USULUHISHI NA UAMUZI

Tuesday, June 19, 2012

 Mwenyekiti wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi Bw. Cornel Kananila Mtaki akila kiapo
 Kamishna Mary Cresent Massay akila kiapo
 Kamishna Salma Abdi Chande akila kiapo
 Kamishna Evod Paul Mushi akila kiapo
 Kamishna Sauli Herbert Kinemela akila Kiapo
 Kamishna Yahya Kitambazi Msigwa akila kiapo

Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Makamishna wapya wa Tume ya Usuluhishi na Uamuzi baada ya kuwaapisha

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment