"Namshukuru
sana mama yangu mzazi kwa elimu aliyonipatia na nashukuru sana Wema
Sepetu English Course" Diamond ameyazungumza haya leo ndani ya xxl baada
ya nsanii Diamond kupongezwa kwa kujibu vizuri katika interview
aliyoifanya (kingereza) baada ya kupiga show Big brother Africa. kusema
ukweli amenisaidia sana kufanikisha kwangu kujua kiingereza maana
alikua akinielekeza sana tulivyokuwa inlove, nisipo kuwa na shukrani kwa
kidogo basi siwezi kuwa na shukrani hata kwa kikubwa" amesema Diamond.
No comments:
Post a Comment