Monday, June 18, 2012
Siku
chache baada ya msanii mwenye vibweka vingi ndani ya tasnia ya filamu
Bongo, Wema Abrahamu Sepetu kutangaza kuwa anamiliki mjengo wenye
thamani ya shilingi za kibongo Ml 400, hatimaye mmiliki halisi wa
mjengo huo ameibuka.
Akizungumza na Teentz.com mapema
leo,mmoja watu walio karibu na mmiliki huyo mwenye asili ya kiarabu
anayemiliki jina la Ahmed au Msafiri kama anavyojulikana kwenye mitaa
hiyo amesema kuwa Wema aliutangazia umma juu ya umiliki wake kwa nyumba
hiyo wakati ambao kijana huyo wa kiarabu alikuwa safari nchini Brazil
kwenye michongo yake.
“Unajua
Wema amewadanya watu kwa kiasi kikubwa, nafikiri anatakiwa kuomba
radhi nakuwaeleza ukweli kwenye nyumba ile hana hata kipande cha tofali
na mmiliki halisi ni mshikaji wangu Ahmed ambaye mara kadhaa huwa
anasafiri kwenda nchini Brail kibiashara” kilisema chanzo hicho.
for more stories stay with us
……………………………………Stori na Dismas Ten………………………………
……………………………………Stori na Dismas Ten………………………………
No comments:
Post a Comment