Saturday, June 9, 2012

LUKA MODRIC KULA SHAVU MANCHESTER UNITED:

 Kocha wa timu ya manchestter united ametoa offer  ya  pound  million   £25  kwa Tottenham ambayo pia itaweza kuongezeka  endapo modric ataonyesha kiwango kizuri hadi million  pound MILION  £30 .
Modric mwenye umri wa miaka  £30 atasaini dili ya miaka 4 yenye thamani ya pound milioni 26  na mshahara wake utakuwa  laki  moja  na  £25 elfu kwa week .
Kwa kiwango hicho  cha pesa MOdric  atakuwa katika kundi la wachezaji wanaolipwa vizuri OLD TRAFFORD.

No comments:

Post a Comment