Wednesday, June 27, 2012

Dr. ULIMBOKA ATEKWA NA KUUMIZWA VIBAYA.PICHA NA MATUKIO...

Wednesday, June 27, 2012

Dr. Ulimbika kabla ya tukio


hali ya Dr. Ulimboka hali aliyokutwa nayo

Akipakizwa kwenye gari

Nesi akilisukuma ambulance

wauguzi na madaktari wakijadiliana jambo

Kiongozi wa madakitari nchini, Dk. Stephen Ulimboka, leo ameokotwa maeneo ya Mabwe Pande, Dar es Salaam, akiwa hoi baada ya kupigwa na watu wasiofahamika.
Kitendo hicho kilisababisha kusimama kabisa kwa huduma katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya madaktari, wauguzi na wahudumu wengine kukasirishwa na kitendo hicho.
Madaktari wameishtumu serikali na jeshi la polisi kwa kile walichokiita kushiriki katika jaribio la kumwua kiongozi wao.

jeshi la polisi launda jopo maalum kwa upelelezi wa tukio la utekaji nyara wa Dr. Ulimboka

No comments:

Post a Comment