Sunday, June 17, 2012

MAKONDE YA DRAKE YALIYOMCHAKAZA CHRIS BROWN,YALETA KIZAAZAA!!

Saturday, June 16, 2012


Kasheshe iliyotokea juzi ndani ya klabu ya usiku yaNYC Soho ya huko kwa Obama kati ya wasanii wawili wa nchini huko Drake na Chris imeibua sakata jingine kwa mmiliki wa klabu hiyo ya usiku. Siku ya jumatano kuliibuka ugomvi kati ya wakali hao ndani ya klabu hiyo huku kila mmoja akipewa sapoti na wapambe wake ambapo Chris aliumizwa na Drake na kusababisha vurugu kubwa ndani ya
klabu hiyo ambapo hapo baadae ilipelekea mmiliki wa klabu hiyo kutafutwa na polisi kwa tukio hilo ambapo pia alikutwa na makosa meningine baada ya kukamtwa. Jonathan Cantor mmiliki wa klabu hiyo alikutwa na mkasa wa kukamatwa baada ya vurugu hizo zilitokea kwenye klabu yake na sasa anakabiliwa pia na makosa ya kushindwa kudhibiti unywaji wa pombe na kuwemo kwenye makosa mengine ya jinai.

No comments:

Post a Comment