Tuesday, May 29, 2012
Mmiliki
wa kampuni ya 2 EYES PRODUCTION anayejulikana kwa jina la Frank Mtao
anapenda kuwajulisha watanzania wote kuwa amechaguliwa kuwa Katibu Mkuu
wa Jumuiya ya watanzania waishio Australia(NSW).
Frank
anasema amepita kwa kura zote katika uchaguzi uliofanyika wiki
iliyopita katika ukumbi wa Granville Youth Centre, Diamond Ave,
Granville NSW na mwenyekiti mpya amekuwa Connie Ufwe.
No comments:
Post a Comment