Monday, May 7, 2012

NDEGE ILIYOTUMIKA KUIBA WANYAMA PORI HAI TANZANIA HII HAPA

"MIONGONI MWA UFISADI ULIOTIA FORA TANZANIA EBWANA HUU ULIPITA MIPAKA. HII NI NDEGE YA JESHI LA ANGA LA QATAR AMBAYO ILITUMIKA KUIBIA WANYAMA 130 WA AINA 14 TOFAUTI NCHINI TANZANIA NA KUWAPELEKA DOHA QATAR. SASA WATANZANIA WENZANGU NAWAULIZA, INAMAANA WAHUSIKA WALI-PLAN KUA KABISA SOKO LA UTALII TANZANIA? MI NAMASHAKA SANA NA UPEO WA FIKRA KWA BAADHI YA VIONGOZI WETU.
KWA HISANI YA HAKI-NGOWI

No comments:

Post a Comment