Friday, May 18, 2012
Washiriki wa Redds Miss Higher Learning
Dodoma 2012, wakiwa katika picha ya pamoja katika kambi yao ya mazoezi iliyopo
katika Ukumbi wa NK Club mjini Dodoma leo. Warembo hawa watapanda jukwaani
Ijumaa hii kuwania taji hilo.
***
Warembo
11 wa Redds Miss Higher Learning Dodoma wanataraji kupanda Jukwaani May 18,2012
katika ukumbi wa Kilimani mjini Dodoma kuwania taji hilo kwa mwaka huu.
Show
hiyo inataraji kuzindikizwa na Mwimbaji bora wa Kiume wa Tuzo za Kili Music
Award 2012, Barnaba kutoka kundi la THT ambaye kwa sasa anawika na wimbo wake
wa Magubegube.
No comments:
Post a Comment