Sunday, May 27, 2012
Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG)
liliopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto jana usiku wa
kuamkia leo na watu wasiojulikana
Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania
Assemblies of God (TAG) Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto na
watu wasiojulikana usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa
hilo ambapo uharibifu wote unaelezwa kuwa umegharimu shilingi millioni
120. Picha/ZanzibarYetu
No comments:
Post a Comment