Watu waliokuwa na silaha
wamevamia gereza nchini Nigeria katika jimbo la Borno,
kaskazini-mashariki mwa nchi, na kuwauwa walinzi wawili, na kuwaachilia
huru wafungwa.
Msemaji wa polisi alieleza kuwa wamewakamata watu 23.
Hakuna aliyedai kuhusika na shambulio hilo, lakini Boko Haram imelaumiwa kwa matukio kadha ya mauaji nchini Nigeria.
No comments:
Post a Comment