Mdananda hit maker mkali kutoka Ilala Dastamina, ameoa alfajiri ya leo
Ijumaa 4/5/2012.Hongera She She She Sheta.Leo alfajiri Bwana harusi
SHETA na Bibi harusi Leyla walihalalishiwa rasmi ku share all the
lavidavi stuffs, mbele ya shekhe pande za mabibo ukweni kwa kina Leyla,
ambapo ndugu na jamaa wa familia hizo
walihudhuria...
No comments:
Post a Comment