Monday, May 28, 2012
Mshindi wa Redd’s Miss IFM 2012, Fina Revocatus (katikati) akiwa na Mshindi wa Pili, Jane Augustino (kushoto) na wa Tatu Theresia Issaya
muda mfupi baada ya kumalizika kwa shindano lao hilo lililofanyika
usiku wa kuamkia leo kwenye ukumbi wa Hoteli ya Blue Peal, Ubungo Jijini
Dar..
Top five ya Miss Ifm 2012.
Top five ya Miss Ifm 2012.
No comments:
Post a Comment