Muhubiri mwinjilisti na mwalimu Christopher Mwakasege kesho atakua akifanya semina ya neno la Mungu na ni maalum kwa wanafunzi wa shule za secondari na vyuo vikuu vyote pamoja na watu wengineo. Njoo upate upako wa Mungu ili aendelee kukubariki katika masomo yako na maisha yako pia.
NYOTE MNAKARIBISHWA BILA KUJALI DINI WALA KABILA
No comments:
Post a Comment