Thursday, May 3, 2012

WIZ KHALIFA AKAMATWA NA BANGI HUKO NASHVILLE.


Rolling paper ni album ya mkali Wiz Khalifa, alikamatwa na bangi ndani ya hotel ya Holliday Inn huko Nasville. Mgeni aliyefika katika hotel hiyo kwenye floor hiyo hiyo ambayo imeripotiwa pia Wiz Khalifa alikuwepo alinusa harufu ya bangi ndipo alipowapigia polisi. Polisi walipofika Wiz Khalifa alijaribu kuficha bag la bangi aliokuwa nalo.
Polisi wa state ya Nashville walisema Wiz alitupa bangi iliyokuwa imewekwa ndani ya sigara lakini polisi hao waliitafuta na kuipata. Wiz Khalifa alikubali kwamba ilikuwa bangi ndani yake, pia alikamatwa na 3.7 grams mfukoni. Polisi walichukua nafasi hiyo kumuonya.

No comments:

Post a Comment