Mkali aliyekuwa kundi la B2K zamani, ice box singer Omarion, amesaini
deal na kampuni kubwa ya muziki ya Maybach Music Group (MGM). XXL
waliwanasa washkaji wakiongelea deal hiyo jinsi ilivyokuja.
Omarion anasema deal hiyo imetokea kama an aaccident hakutegemea,
ilikuwa na baada ya kumfuata Rozay kwa ajili ya kumuomba kufanya nae
collabo tu kurekodi some tracks. Kabla hajanijibu kuhusu kitu
nilichomuomba, akasema alikuwa anataka kunisaini MMG roster, Omarion
aliongeza kwamba tayari kuna ngoma wamesharekodi muda wowote baada ya
miezi kama miwili ngoma zitatoka.
No comments:
Post a Comment