Jose
Chameleone anategemewa ku piga show kwenye sherehe za ufunguzi wa 2012
Olympic Games huko London. Chameleon kapata mchongo huo baada ya
kapigiwa simu kampuni iliyoko South Africa AS ENTERTAINMENT liyompa
mchongo wa kuperform kwenye kombe la dunia lililofanyika South Africa
2010.
Kampuni
hiyo bado ipo katika maelewano juu ya shilingi ngapi chameleon
atalipwa,inawezekana akawa ni msanii pekee atakaeiwakilisha East Africa
katika michezo hiyo ya olympic
London
2012 Olympics games zimepangwa kuanza july 25 kwa team mbili za mpira
wa miguu kwa wanawake katika uwanja wa Millennium, Cardiff.
No comments:
Post a Comment