Friday, May 4, 2012

HIZI NI PICHA NDANI YA IKULU RAIS KIKWETE ALIPOKUA AKITANGAZA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRIHOMA ILIPOPATA DAWA IKULU LEO......

Wanahabari waandamizi, wakiwa makini kuchua vema orodha mpya ya Baraza la Mawaziri, ikulu leo.

Wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari nao walikuwa makini kuchukua taswira na munekano wa Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati akitangaza Orodha ya Mawaziri na Manaibu Waziri.

Na hivi ndivyo,Mheshimiwa Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, akionekana, akisoma Orodha ya Baraza la Mawaziri, Ikulu jijini Dar es  Salaam leo.
Mhesimiwa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete, Ikulu leo.

No comments:

Post a Comment