HAPA NI REAL MADRID WAPO MJINI MADRID WAKISHANGILIA UBINGWA
Nahodha wa Real Madrid Ike Casilas akiwa na mshambuliaji wa timu hiyo Cristiano Ronaldo, wikipita kwenye viunga vya mji wa Madrid wakishangilia ubingwa wa La- liga.
Kocha anayeondoka wa timu ya Barcelona Pep Guardiola, amekiri hadharani kuwa mahasimu wao wa jadi Real Madrid, walistahili kutwaa ubingwa wa La- Liga msimu huu.
No comments:
Post a Comment