Tuesday, May 1, 2012

MAN U WASHINDWA KUFURUKUTA DHIDI YA MAN CITY


Hichi ndicho alichosema MANCINI BAADA YA MECHI YA JANA 

kabla ya  kuanza ku kwaruzana

Kocha  wa Manchester United Sir Alex Ferguson wakigombana na kocha Manchester CityMeneja Roberto Mancini .
Kocha  wa Manchester United Sir Alex Ferguson wakigombana na kocha Manchester CityMeneja Roberto Mancini .
 
Uhalisia wa tukio hilo ulionyesha  ubaya uliomusisha meneja wa   man u  na mpinzani wa ke Kocha  mancini katika dakika 76.

Hasira za wazi kwa  Sir Alex Ferguson zilimfosi  kumfuata kocha wa Manchester City baada ya muitaliano huyo  kuingia katika eneo la  ufundi nakumlalamikia Nigel De Jong akiwa amekamatwa katika ushindani mkubwa na Danny Welbeck.
Vincent Kompany wa Manchester City akifunga katika kipindi cha kwanza cha mchezo huo.

Kipindi cha kwanza Manchester City ilionekana kutawala mchezo  nakujaribu kutengeneza  na fasi za wazi zidi ya wapinzani wa o ambao walionekana kushambulia kwa kasi  wa kiwa  na  kundi la washambuliaji  wa tano  likiongozwa  na  Wayne Rooney.
Vincent Kompany wa Manchester City akishangilia  bao alilo funga.
 Hawa ni mashabiki wa timu  ya man u na man city dakika chake kabla ya mchezo wa jana  mchezo uliotazamwa na watu zaidi ya  milioni  650 duniani  kote.

Mbali na  Manchester City  kuishinda Manchester united kwa ushindi(i-o)  katika mchezo  wa jana bado timu  hiyo inaongoza kwa magoli.

Ushindindi wa  City  unatokana na ushindi iliyo upatakatika michezo iliyocheza na    Newcastle pamoja na Queens Park Rangers ,ambapo Katika michezo iliyobaki inaonekana city italaumu ligi yao ya kwanza ndani ya miaka 44 huku united wakimaliza  msimu bila kikombe.

No comments:

Post a Comment