Mwanaume
wa miaka 67 amekutwa akiwa hatikisiki hata, kwenye club ya wacheza
uchi iliyoko Texas siku ya ijumaa baada ya kupokea mauno ya
kutosha kutoka kwa wanadada wa club hiyo.police wanaamini kuwa mzee huyo
alipatwa na mshtuko wa moyo wakati akiburudishwa ndani ya Red Parrot
strip club. kwa mujibu wa mmiliki wa club hiyo, wafanyakazi walijaribu
ku perfom CPR kwa mteja wao huyo lakini hawakufanikiwa na alifariki
dunia.mpaka sasa hakuna faulo iliyochezwa kufikia kifo cha mzee huyo,
lakini bado uchunguzi unafanyika
No comments:
Post a Comment